Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Kwa mama muuzatukutanie viwanja vip mkuu?
Kwa mama muuzatukutanie viwanja vip mkuu?
mshahara kiasi gani ?Maisha yamekua magumu sana
unanitia moyo sana th name!Kwa mama muuza
Wewe sio MTU??? Si upo hapa....zamu yakoHili jukwaa mbona leo watu hawapo why ? wameenda wap
Mkuu....karibu chaiAsante sana mkuu
Hahahahaunanitia moyo sana th name!
Hah hii ndoa tuliisimamia na kuibariki....Hamna atakae wayumbisha...Sijui wamekula maharage ya wapi hawa.....
Watajaribu kunipindua lakin hawatafanikiwaaaaaaa
Uko poa shem???
Tufurahi kwa pamoja wakati huu,Kama weekend ndo tayari imeshafika,
Watu viwanjani tunamiminika,
Weekend leo..Hili jukwaa mbona leo watu hawapo why ? wameenda wap

Pande za wapi mkuuKama weekend ndo tayari imeshafika,
Watu viwanjani tunamiminika,
Tufurahi kwa pamoja wakati huu,
Na kwa furaha turushe mikono juuuu
Asante shemHah hii ndoa tuliisimamia na kuibariki....Hamna atakae wayumbisha...
Mimi mzima Shem....leo nimepata sikukari karibu chai
Tunasubiri night kaliPande za wapi mkuu
AHSANTE!Wewe sio MTU??? Si upo hapa....zamu yako
Njema habari ya wewe??Abar zenyu makapuku wenzangu