Tupo mamy karibu sanaKitambo sana.
Ngoja nikapande Shabiby tu maana hamna namna. Nakutaga manyoya tu mimiauntie unatakiwa nilipo uwepo hakuna namna ingine
Nishaanza kuandika siredi, habari nishatunga nasubiri tu unipe hints niedit
Ngoja nikapande Shabiby tu maana hamna namna. Nakutaga manyoya tu mimi
Nishaanza kuandika siredi, habari nishatunga nasubiri tu unipe hints niedit
Hawa wakwe itabidi na bakora zihusike sasa.Nimecheka kwa nguvu auntie
Hayo ndio mambo sasa.nitakupa mpaka chart zao uweke kabisa kwa thread
Hawa wakwe itabidi na bakora zihusike sasa.
Wazima kaka habari yakoEheee
Wazimaaaa woteee
Ni njema kabisa za huko kwenuWazima kaka habari yako
Aah ikibidi hamna namna.
Wakwe wapigwe bakora na mama mkwe nimecheka sana
Marafiki ndio sie, sitamuangusha na siredi matataaaa yenye viambatanisho
My ndugu wasamehe ila ukisikia tena toa ushahidi wooote umuache chiu ntu na ntue.nitakupa mpaka chart zao uweke kabisa kwa thread
Kwani akitoa zile ushahidi unadhani anahitaji marafiki sisi tumpe back up? Yani ni aibu kwa watu wazima walio kwenye forum kama hii kujazana upupu na kuusambaza. Kwa kifupi bidada na bwana wao na hao wengine waliokua wanachat PM tunasema WANAJITISHA.Marafiki ndio sie, sitamuangusha na siredi matataaaa yenye viambatanisho
Marafiki ndio sie, sitamuangusha na siredi matataaaa yenye viambatanisho
WanajitishaKwani akitoa zile ushahidi unadhani anahitaji marafiki sisi tumpe back up? Yani ni aibu kwa watu wazima walio kwenye forum kama hii kujazana upupu na kuusambaza. Kwa kifupi bidada na bwana wao na hao wengine waliokua wanachat PM tunasema WANAJITISHA.