AL AHLY KUMTOA KWA MKOPO LUIS
.
Kocha wa Al Ahly, Pitso Mosimane anatarajia kumtoa kwa mkopo kiungo wake mshambuliaji, Luis Miquissone (26) msimu ujao.
.
Kocha huyo amekaririwa akidai mchezaji huyo ameshindwa kuelewa mfumo wake wa ufundishaji.
.
Taarifa zinaeleza kuwa Miquissone atapendelea kurudi kwenye klabu yake ya zamani, Simba SC.