Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Kijijini wapi auntie naanzaje kuwa kijijini mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda huku kwangu kijijini ya dar
Kijijini wapi auntie naanzaje kuwa kijijini mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda huku kwangu kijijini ya dar
Huko huko Auntie!!! Si unakumbuka siku ile ulivyonishtua? [emoji23]Kijijini wapi auntie naanzaje kuwa kijijini mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda huku kwangu kijijini ya dar
Hahhaha nipo kijijini dar huku kwangu ndio napaitaga hivi mwanzo si nilikuwa naishi sinza sasa nimetoka sinza nimehamia kimara kwahiyo napaita kijijini [emoji23][emoji23][emoji23]Huko huko Auntie!!! Si unakumbuka siku ile ulivyonishtua? [emoji23]
Ndiyo upo Kijijini Dar au upoooooooo? [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
🤗🤗🤗Hahhaha nipo kijijini dar huku kwangu ndio napaitaga hivi mwanzo si nilikuwa naishi sinza sasa nimetoka sinza nimehamia kimara kwahiyo napaita kijijini [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji7][emoji7][emoji3059][emoji3059][emoji847][emoji847][emoji847]
I love ❤️ u[emoji7][emoji7][emoji3059][emoji3059]
I love you more more [emoji8][emoji8][emoji8]I love [emoji3590] u
Auntie!!!!...Hahhaha nipo kijijini dar huku kwangu ndio napaitaga hivi mwanzo si nilikuwa naishi sinza sasa nimetoka sinza nimehamia kimara kwahiyo napaita kijijini [emoji23][emoji23][emoji23]
Auntie!!!!...
Sawa..tutaongea wakati mwingine..naona na wewe chupa ya kijani imekolea[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha auntie ujue nipo mzima naingia kazini asubuhi naanzaje kunywaAuntie!!!!...
Sawa..tutaongea wakati mwingine..naona na wewe chupa ya kijani imekolea[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante babe kwa kunitetea [emoji8][emoji8][emoji8]Hapana unamsingizia leo
Hahhaha auntie ujue nipo mzima naingia kazini asubuhi naanzaje kunywa
Usichoelewa hapo auntie nini jamani
Asante babe kwa kunitetea [emoji8][emoji8][emoji8]
HahahahhaahMakopaa unayonimwagiaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka mimiBado hakuamini kama unaweza kupendaa hivii tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lee
Unatupeleka haraka sana... umeshabadili Avatar Shem?
Nilivyooana nikajua Ingizo jipya[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Auntie...Nimekuelewa vyema kabisa..[emoji2]Hahhaha auntie ujue nipo mzima naingia kazini asubuhi naanzaje kunywa
Usichoelewa hapo auntie nini jamani