.
Kwa jinsi msimamo wa kundi ulivyo, ushindi utarahisisha hesabu za Simba kuisaka robo fainali na kinyume chake italazimika kufanya kazi ngumu mechi mbili zitakazosalia ikiwamo ya ugenini dhidi ya Asec Mimosas na ule wa mwisho nyumbani na US Gendarmerie. Vipi Mwarabu kwa Mkapa atatoka mbele ya MNYAMA __!?