Umri unafaa?| Moses Phiri Mambo yameiva Simba
.
Mambo yameiva pale Zambia. Mshambuliaji hatari Moses Phiri amefunguka kwamba msimu ujao anatua Msimbazi baada ya makubaliano ya awali kufanyika
.
“Bado mimi ni mchezaji wa Zanaco, lakini kama Simba wamekuja na ofa nzuri mezani kwa nini nikatae wakati mpira ndio kazi yangu.”
.
“Uwepo wa Chama na Bwalya katika kikosi cha Simba kimenifanya niridhike kuwa, kikosi cha timu hiyo kinaundwa na mastaa wanaotaka mafanikio.”
.
“Naongea sana na Chama ni rafiki yangu sana ameniambia nipambane kuhakikisha nakuja huko, nafatilia mechi nyingi za Simba ni timu kubwa.” Amesema Phiri.View attachment 2109574
Si unajua simba hawaangaliagi umriUmri unafaa?
Hapo ndo changamoto...Si unajua simba hawaangaliagi umri
Leo watupe burudani
Asante nimeshapoaHapo ndo changamoto...
Pole na uchovu wa jana
Leo upo kazini ?Asante nimeshapoa
Hii simba itajijua yenyewe kwa sasa iniache kidogo nisije nikafa kabla ya siku zanguLeo watupe burudani
Yap jioniLeo upo kazini ?
Nilijua asbh nilikuwa maeneo ya karibuYap jioni
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii simba itajijua yenyewe kwa sasa iniache kidogo nisije nikafa kabla ya siku zangu
Walideserve kutwaa ubingwaSenegal imetwaa taji la Afcon 2021 ikiwa ni mara ya kwanza baada ya kuifunga Misri kwa mikwaju ya penalti 4-2 (dakika 120 walitoka 0-0).
View attachment 2110809