Makapuku Forum

Naenda kukutangaza kule jukwaani live Band..[emoji23][emoji23]

Nasema kuna demu wangu hapa anaitwa shunie...[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shunie unanijua we na wana jf wenzio nikitoka nje ya jf ukiniita shunie watu watakushangaa hivi unamwita naniii
 
| Moses Phiri Mambo yameiva Simba
.
Mambo yameiva pale Zambia. Mshambuliaji hatari Moses Phiri amefunguka kwamba msimu ujao anatua Msimbazi baada ya makubaliano ya awali kufanyika
.
“Bado mimi ni mchezaji wa Zanaco, lakini kama Simba wamekuja na ofa nzuri mezani kwa nini nikatae wakati mpira ndio kazi yangu.”
.
“Uwepo wa Chama na Bwalya katika kikosi cha Simba kimenifanya niridhike kuwa, kikosi cha timu hiyo kinaundwa na mastaa wanaotaka mafanikio.”
.
“Naongea sana na Chama ni rafiki yangu sana ameniambia nipambane kuhakikisha nakuja huko, nafatilia mechi nyingi za Simba ni timu kubwa.” Amesema Phiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…