Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Nini umefuta jamanimmmh mbona mara kibao napanda Shabiby na nashare kule ....kwanza nilijua nipo jukwaa langu pendwa kumbe ni huku
Nini umefuta jamanimmmh mbona mara kibao napanda Shabiby na nashare kule ....kwanza nilijua nipo jukwaa langu pendwa kumbe ni huku
Nimesharudi we mzeeshangazi nimeamka poa kbs.vp bd uko arusha
mm naona unapandaga mwewe tu bosslady
Umeupenda eeenh we mzeemzuri sana
Nipo nimesharudiUkirudii unambie nipite kwa mbali nikusalimie
Shunie mmaaaaah
ndo wapi huko rainbow?Huwa napenda mchemsho wa pale Rainbow ila wajinga wale wana bei, unakula huku roho inauma
Nini umefuta jamani
Nimechekahee itakua unanifananisha....wewe halafu ilo jina silitaki..!
sana na ww ndo mwenyeji wangu hapa mtaaniUmeupenda eeenh we mzee
Hata humu hamna shida tupia bwana ebu irudishe husna yupo anapitaga siku moja moja watu wapo busyPicha Mpenzi, nilijua nipo Selfika.
Huku Makapuku kuna mdada alikua anajiita Husna Muba yupo jamani nimemkumbuka tu.
ndo wapi huko rainbow?
Huyu shayo wetu daily kutuuzia mapupu tu
Naaaamsana na ww ndo mwenyeji wangu hapa mtaani
Hata humu hamna shida tupia bwana ebu irudishe husna yupo anapitaga siku moja moja watu wapo busy
hahahahaNaaaam
naomba unikaribishe nikusalimie kwa mbaliNimesharudi we mzee
Mpenzi me nipo sana humu makapuku yaani nikiingia jf ni humu tumnoo jamani mambo ni mengi hata wewe sijakuona muda!!
HahahhahahahBoss awe yeye halafu ananiita mimi!!