Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
"Mh. Rais tunakutana leo hapa ili kuipongeza Twiga Stars kwa kutwaa Kombe la COSAFA huko Afrika Kusini tunashukuru kwa Upendo wako kwa kutupa heshima kufika hapa Ikulu tujipongeze pamoja na Wanamichezo wetu"
"Kwa kipindi kifupi cha uongozi wako matokeo chanya kwenye michezo tunayaona , Timu zetu zinaposhinda unatualika hapa Ikulu kwenye mchapalo unafurahi na sisi jambo hili ni kubwa sana Timu zetu zinapata hamasa kukaa na wewe kama hivi na kupata lunch pamoja, tunakushukuru kwa namna unavyotujali Mh. Rais"
"Mh. Rais ulielekeza tuangalie Michezo ya Wanawake, Tamasha la Michezo la Wanawake la Tanzanite lilifanyika kwa Mara ya kwanza September 16-18, 2021 akina Mama walionesha uwezo wao na kuonesha Dunia kuwa wakiwezeshwa wanaweza"
"Tuliweka mkakati wa kurejesha mashindano ya Taifa Cup, hatimaye baada ya Mashindano haya kusimama kwa muda mrefu sasa yatarudi na yataendelea kila mwaka, kwa mwaka huu yatafanyika DSM na kwa uzito wa Mashindano haya na kwa kutambua dhamira yako njema Mh. Rais Samia ya Kuendeleza Michezo tunapendekeza yaitwe Samia Taifa Cup au Kombe la Taifa la Mama Samia" ———
Waziri Bashungwa mbele ya Rais Samia Ikulu Dar es salaam leo