Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20211028-134155_Instagram.jpg
 
Simba imeshakaa kwenye ubora kwa muda mrefu, shida huwa sio kukaa kwenye namba moja bali utakaa namba moja kwa muda gani? Wakati huohuo wenzako pia wanajipanga kukaa namba moja.

Sioni kitu cha ajabu, naona Simba imefika sehemu ambayo wengine nao wanaendelea kujiimarisha kufika Simba ilipo.

Ukiangalia usajili ambao umefanywa na Yanga na Azam FC wamefanya kwa kuangalia Simba ilichokuwa inafanya. Ili kushindana na Simba, lazima na wao wawe level moja na Simba.

Kwa hiyo Simba kuendelea kubaki palepale na kuruhusu wapinzani wake kufikia level yake. Inachotakiwa kufanya Simba ni kuongeza ‘gape’ kati yake na washindani wake ambao kwa sasa wamefika kwenye level ilipo Simba.

Simba sio mbovu, ila wapinzani wake wameimarika kuliko ilivyokuwa mwanzo.
Screenshot_20211029-184212_Instagram.jpg
 
Acheni kujipa moyo simba ya sasa ni mbovu
Simba imeshakaa kwenye ubora kwa muda mrefu, shida huwa sio kukaa kwenye namba moja bali utakaa namba moja kwa muda gani? Wakati huohuo wenzako pia wanajipanga kukaa namba moja.

Sioni kitu cha ajabu, naona Simba imefika sehemu ambayo wengine nao wanaendelea kujiimarisha kufika Simba ilipo.

Ukiangalia usajili ambao umefanywa na Yanga na Azam FC wamefanya kwa kuangalia Simba ilichokuwa inafanya. Ili kushindana na Simba, lazima na wao wawe level moja na Simba.

Kwa hiyo Simba kuendelea kubaki palepale na kuruhusu wapinzani wake kufikia level yake. Inachotakiwa kufanya Simba ni kuongeza ‘gape’ kati yake na washindani wake ambao kwa sasa wamefika kwenye level ilipo Simba.

Simba sio mbovu, ila wapinzani wake wameimarika kuliko ilivyokuwa mwanzo.View attachment 1991111
 
Back
Top Bottom