Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,401
- 465,253
Waziri wa Nishati January Makamba amewasilisha ujumbe maalum wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenda kwa Khalifa Bin Zayed Al Nahyan, Kiongozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu.
Makamba amewasilisha ujumbe huo maalum kupitia kwa Sheikh Shakhbout bin Nahyan Al Nahyan, Waziri wa Nchi anayeshughulikia Mambo ya Nje, tarehe 24 Oktoba, 2021 katika Ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ya UAE.
Makamba katika mazungumzo hayo ameambatana na Mohamed Mtonga, Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu, Kamishina wa Mafuta na Gesi, Michale Mjinja kutoka Wizara ya Nishati na Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dkt. James Mataragio.