Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wenye timu wameamua
SimbaDay2021
OneTeamOneDream

Nyieeeee wenye team yao wameamua huku. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210919-151709_Instagram.jpg
Screenshot_20210919-151733_Instagram.jpg
Screenshot_20210919-151754_Instagram.jpg
 
Ahsante sana Shunie. Yaani kweli siku hizi nimekosa le mbebezi humu mpaka sijapata thread ya kutakia kheri ya kumbukumbu ya kuzaliwa. Hahaha
Ni kweli Rogie ulikuwa wewe nikasema namfananisha au ilikuwa kwenye insta story ya Nugaz halafu umenenepa

Hahhaha kwani yule mbebez wako yule mmeshaachana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unafeli wapi
 
Back
Top Bottom