Hizi sifa sasaTiketi zote za SIMBA DAY 2021 zimeisha [emoji119]
Asanteni wote [emoji122]
SimbaDay2021
OneTeamOneDream
NguvuMoja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyieeee mmeonaView attachment 1944603
Wewe tupooooMakapuku shunie akiwa hayupo na makapuku inakufa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimejionea
MkuuWewe tupoooo
Kijana wa chief Hangaya. Upo?Mkuu
Nipo mkuu chief wetu anatuheshimishaa ugaibuniKijana wa chief Hangaya. Upo?
Ndio mpo mpaka shunie akiwepo huo ndio ukweliWewe tupoooo
Hongereni sana bhana [emoji3]Nipo mkuu chief wetu anatuheshimishaa ugaibuni
Sakayo huwa anaficha simu yangu bhanaNdio mpo mpaka shunie akiwepo huo ndio ukweli
Saa 12 wanaanza game yao huko naijeria.! Nataka wapigwe moja tuu. Mamoko tuu yaani [emoji1787][emoji1787]Halafu yanga wakifungwa sherehe yetu itaenda vizuri sana
Si walisema hawataki watu wao. Sisi tunataka watu.Manara ajioneee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bila yeye simba inajaza
HahahahaHongereni sana bhana [emoji3]
Kule naijeria naomba mambo yaende sawia.Manara ataweka wapi sura yakeee jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]