Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunacheka nao hivyohivyo kinafki tu mtu akitoka hapo anaenda kukuulizia habari zako unabaki unamwangalia tu ukitaka kununiana na watu utanuniana na wangapi jamani inabidi tuishi nao hivyohivyo na unafki tunauweza sana tu
 
Sakayo
Mzigua90
reymage

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie hao ndio marafiki zangu jamani ndani ya jf na nje ya jf kama leo nimeenjoy tu kuongea na mzigua sana kwenye simu na sakayo tumepiga sana umbea

Basi wanafki wangu watawafata pm ila sakayo kafunga pm nawapa taarifa vitafika kama vilivyo na kama vinavyofikaga vingine mkienda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Niwakumbushe tena mwenzenu nina chawa unapokuwa unaniongelea uwe makini sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Njoeni wenyewe kwangu mniulize jamani
 
We shuu nenda ndani ukampe smart mambo huko[emoji23]
 
Hahahaahha!!!!!!yaani wewee lini umeanza ukorofi

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Hahaaaaa!!!!ushalewa wewe. Heineken eeehh

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Angalia contacts yako una marafiki majina au marafiki ambao mnasaidiana kwa shida na raha

Marafiki ambao ukikwama unaweza mwambia shida yako akakusaidia kukupa au hata kukukopesha hata kuamka usiku wa manane kwa ajili ya tatizo lako

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwenzenu me rafiki zangu nikikwama watanisaidia wakikwama nitawasaidia yaani shida na raha tupo wote

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa una rafiki anakupenda kwa ajili ya kitu au vitu wa nini huyo

Jamani rafiki zangu wana hela [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…