Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,652
- 19,341
Naona mechi zao za kujipima nguvu wanacheza na kina Friends Rangers na kina Pan Africa!!!! Hawataki kucheza na timu kubwa maana wanakua wana risk support ya mashabiki wao watakaonza kuona wameingizwa chaka kwenye usajiliKipindi pekee ambacho mbutembute fc wanafurahia ni hiki cha usajili ..subiria jpili wapigwe za kutosha
Halafu nasikia sehemu zote anazopita lazima tu awavuruge tuHiyo siku wala haiko mbali. Halafu Haji hanaga mshipa wa noma. Atawasasambua na kuwavua nguo hadharani
Na vile hawawezi kuvumiliaHamna kitu pale. Huko alipokua alikua anasugua bench tu. Na Chura FC kwani wanakawia? Wataanza kumshambulia kwa lawama na matusi watapoona huyu sio Makambo wa mwanzo. Wamenunua mbuzi kwenye gunia
Hata kwenye chama chake kuna kipindi miaka ya nyuma walimpa heshima na kumteuwa kua Mwenezi wa MkoaHalafu nasikia sehemu zote anazopita lazima tu awavuruge tu
Hahahaaa. Hakika ndugu yangu.Hivi ujue kweli tumezeeka sasa hivi hata miezi tunaweza hata tusipishane jf
Acha tuwaachie vijana na wenye multiple I'd wapambane na hali zao
Kabla ya Ccm alianzia Cuf napo ni hivyohivyo tu kuna siku nilisoma mpenja sijui alimuongelea vizuri sana toka alivyokuwa naye radio uhuru ebu nitatafuta post yake nitaiweka hapaHata kwenye chama chake kuna kipindi miaka ya nyuma walimpa heshima na kumteuwa kua Mwenezi wa Mkoa
Kashfa aliyowaletea si ya kitoto. Yaani ilibidi aandike mwenyewe barua ya ku resign na Chama kwa kule kudhalilisgwa hakikuhangaika hata kumjibu!!! Walichagua tu mtu mwingne kuchukua nafasi yake
Kwahiyo upo sahihi kabisa kua kila apitapo lazima awavuruge