Makapuku Forum

Hahhaha kwa kujipa moyo tu yetu sisi macho
 
Hamna kitu pale. Huko alipokua alikua anasugua bench tu. Na Chura FC kwani wanakawia? Wataanza kumshambulia kwa lawama na matusi watapoona huyu sio Makambo wa mwanzo. Wamenunua mbuzi kwenye gunia

Kipindi pekee ambacho mbutembute fc wanafurahia ni hiki cha usajili ..subiria jpili wapigwe za kutosha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…