trimethylamine N-oxide au TMAO ni viini ( substances ) vinavyo toka wakati mtu anameng'enya Nyama nyekundu ndani ya mwili hii substance ndio inasababisha mtu kuwa na magonjwa ya moyo, stroke n.k hivyo basi unashauriwa kula nyama kidogo mboga za majani kwa wingi ili kuepukana na haya magonjwa.
Hapo kwenye kula nyama kidogo hapo nahisi me nyama zitaniuwa