Makapuku Forum

Makapuku Forum

Baba wawili angekuwepo angesema shunie naona chupa za kijani zinaongea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kumbe nipo mzima na akili zangu najiamini mwenyewe sijui huwa najikuta nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Au huu ubonge wangu jamani unaniongopea
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Haya maisha bwana ni vile wewe mwenyewe unavyotaka kuishi na kujipa stress

Mwenzenu naenjoy nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom