Mh" Kwa jinsi ambavyo @SuluhuSamia ameanza kuongoza nchi yetu,ni dhahili kabisa amepeta somo kubwa kutoka kwa Rais Mstaafu @jmkikwete ambaye aliamini katika taasisi na hapendi kuonea watu" Mwigulu Nchemba, Waziri Wa Fedha
#BajetiYaSerikali
Washaanza kumsahau jiwe
Kufa tujue tabia zako za watu wa karibuWashaanza kumsahau jiwe
Hii bajeti sijaielewa mpka huu mda