Makapuku Forum

Kwanini wamepunguza siku 45 au ndo kubana matumiz
 
“Tangu kuingia kwa Covid 19 Tanzania March 2020, Tanzania imekumbwa na mawimbi mawili makubwa na sasa kutokana na mwenendo wa ugonjwa huo katika Mataifa mengine Duniani, kuna tishio la kutokea wimbi la tatu nchini”———Ripoti ya Kamati ya Tathmini ya Corona iliyoundwa na Rais Samia

“Kamati imebaini kuwa mwamko wa kudhibiti wimbi la kwanza la Corona ulikuwa mkubwa ukilinganisha na wimbi la pili, Kamati imeshauri kuimarisha kasi kudhibiti tishio la wimbi la tatu”———Kamati ya Tathmini ya Corona
 
“Kuhusu chanjo dhidi ya Covid 19, Kamati inashauri Serikali kupitia vyombo vyake iendelee na hatua kuelekea kuruhusu matumizi huru ya chanjo dhidi ya Covid 19 kwa kutumia chanjo zilizoorodheshwa na WHO ili kuwapa fursa ya kinga Wananchi wake”———Mapendekezo ya Kamati ya Tathmini ya Corona iliyoundwa na Rais Samia

“Kupitia uchambuzi wa Kamati, chanjo za Covid- 19 (zilizoorodheshwa na WHO) zina ufanisi na usalama unaokubalika Kisayansi, kipaumbele cha utoaji wa chanjo kiwe kwa Wahudumu wa vituo vya kutolea huduma za afya na Watumishi walio mstari wa mbele wa utoaji wa huduma mathalani Watumishi wa Sekta ya Utalii, Hoteli, Mipakani, Viongozi wa Dini na Mahujaji, Wazee, Watu wazima kuanzia miaka 50 na wenye maradhi sugu”———Kamati ya Tathmini ya Corona

“Serikali itoe takwimu sahihi za ugonjwa wa Covid-19 kwa Umma na WHO ili Wananchi wapate taarifa sahihi kutoka Mamlaka za Serikali na kuheshimu makubaliano na kanuni ambazo Nchi iliridhia”———Mapendekezo ya Kamati ya Tathmini ya Corona iliyoundwa na Rais Samia
 
“Kupitia uchambuzi wa Kamati, chanjo za Covid- 19 (zilizoorodheshwa na WHO) zina ufanisi na usalama unaokubalika Kisayansi, kipaumbele cha utoaji wa chanjo kiwe kwa Wahudumu wa vituo vya kutolea huduma za afya”———Mapendekezo ya Kamati ya Tathmini ya Corona

“Kipaumbele cha utoaji wa chanjo ya Corona kiwe pia kwa Watumishi walio mstari wa mbele wa utoaji wa huduma mathalani Watumishi wa Sekta ya Utalii, Hoteli, Mipakani, Viongozi wa Dini na Mahujaji, Wazee, Watu wazima kuanzia miaka 50 na wenye maradhi sugu”———Kamati ya Tathmini ya Corona

“Kipaumbele cha utoaji wa chanjo ya Corona kiwe kwa Watumishi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Wasafiri wanaokwenda nje ya Nchi, pia kufanya uhamasishaji na maandalizi ya upokeaji, usafirishaji na utoaji wa chanjo na Wananchi wawe huru kuamua kuchanja au laah”———Kamati ya Tathmini ya Corona
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…