Sawaa Chaubishi... si utakuja pale clinic, hata kama niko likizo nitaifupisha kwaajili yako ilimradi nirudi kukutibu wewemadokta wa kike kweli wananiona
HahhahahaSawaa Chaubishi... si utakuja pale clinic, hata kama niko likizo nitaifupisha kwaajili yako ilimradi nirudi kukutibu wewe
Asa mbona umefunika machuchu aseeeee?Mwaka 1828, Sarah Goodridge ambaye alikua mchoraji, alichora picha ya matiti yake akampa Seneta wa Marekani Daniel Webster ili kumshawishi amuoe.
Kwa kipindi hicho Daniel Webster alikua anatarajiwa kutaka kuoa baada ya kufiwa na mke wake.
Licha ya juhudi za Sarah lakini Daniel Webster alioa mwanamke mwingine.
Familia yake iliitunza picha hio kwa zaidi ya miaka 50 ndipo miaka ya 1980's waliamua kuiuza na kuwekwa kwenye jumba la makumbusho.View attachment 1767660
We mzee machuchu yake ya nini sasaAsa mbona umefunika machuchu aseeeee?
Mngh! Hii ni hatari
Hahhahaha
Khaa... 😅Anaitwa Nadia Matievskaia ni raia wa Minsk, Belarus, anatimiza umri wa miaka 23 mwaka huu, amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na ubunifu wake katika sanaa ya uchoraji. Bibie huyu Ni mchoraji maarufu ambae anachora kwa kutumia Matiti.
Hapo awali hakuwahi kufikiria kama atakuja kuwa mchoraji mkubwa kiasi alichofikia. Ndoto yake kubwa ilikuwa ni kuwa Mwanamuziki na baadae alikuja kugundua kuwa ana kipaji kingine cha kuchora. Ajabu zaidi hatumii mikono kuchora, anatumia chuchu za matiti yake, anachovya rangi na kuchora .
.
Nadia anasema kuwa hajawahi kuingia darasani kusomea fani hii ya uchoraji, na imekuwa ni kazi inayomuingizia pesa nyingi kwakua anachora picha nyingi kwa namna hiyo na kuziuza kwa watu mbalimbali.View attachment 1767908
Halafu leo ndio najua kama tetra Dr nipe location basi ya kuja uko clinicSawaa Chaubishi... si utakuja pale clinic, hata kama niko likizo nitaifupisha kwaajili yako ilimradi nirudi kukutibu wewe
Disgusting...🤮🤮🤮Mwaka 2019 huko Madrid, Hispania kijana mwenye umri wa miaka 26 aliyefahamika kwa jina la Alberto Sánchez Gomez alikamatwa na Polisi kwa kosa la kumuua mama yake mzazi María Soledad Gómez aliyekua na miaka 66.
Uchunguzi wa Polisi ulianza baada ya mama huyo kutoonekana mwezi mzima. Polisi walifika nyumbani kwake kwaajili ya kuchunguza baada ya kupewa taarifa na majirani, walipofika walikuta nyama nyingi chumbani kwa Alberto. Polisi walipofanya uchunguzi waligundua kuwa nyama ile ni ya binadamu.
Baada ya kukamatwa Alberto alikiri kuwa ni kweli alimuuwa mama yake, akamkatakata vipande na kuanza kula nyama akisaidiana na mbwa wake.
Ripoti ya polisi ilisema kuwa Alberto alikuwa mtumiaji mkubwa wa dawa za kulevya.View attachment 1767920
😆😆😆😂😂😂Halafu leo ndio najua kama tetra Dr nipe location basi ya kuja uko clinic
Machuchu tuyaone tupate mzukaWe mzee machuchu yake ya nini sasa