Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mvua kubwa katika baadhi ya maeneo ya Mikoa ya Dar es salaam, Lindi, Kusini mwa Mkoa wa Morogoro na Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) kwa muda wa siku tatu kuanzia leo Jumamosi hadi Jumatatu April 05,2021, athari zinazoweza kutokea ni makazi kuzungukwa na maji na ucheleweshwaji wa baadhi ya shughuli za usafirishaji———“tafadhali zingatia na ujiandae”View attachment 1742438View attachment 1742439
FT: Chelsea 2-5 West Bromwich (Pulisic 27’ Mount 71’) (Pereira 45+2’ 45+4’ Rabinson 63’ 90+1’ Diagne 68’) EPL
Mashabiki wa Chelsea kuna ujumbe wenu hukuView attachment 1742444
FT: Chelsea 2-5 West Bromwich (Pulisic 27’ Mount 71’) (Pereira 45+2’ 45+4’ Rabinson 63’ 90+1’ Diagne 68’) EPL
Mashabiki wa Chelsea kuna ujumbe wenu hukuView attachment 1742444
Thanks na kwako piaHappy Easter
Nawe pia uwe na Jumapili njema na Pasaka...Muwe na jumapili njema na pasaka njema nawapenda
Tunakupenda pia, enjoy pasakaMuwe na jumapili njema na pasaka njema nawapenda
Karibu pasakaNawe pia uwe na Jumapili njema na Pasaka...
Usiponialika nakualika wewe...
Karibuni nanyi nyote...Karibu pasaka
Nakuja na shunieKaribuni nanyi nyote...