Hivi ndivyo Wananchi wa Dodoma walivyomiminika Barabarani makundi kwa makundi usiku huu wakiusindikiza msafara uliobeba mwili wa Hayati Magufuli kwa ajili ya kutoa heshima zao za mwisho.
RIPHayatiMagufuli
Wananchi hawa wana kumbukumbu ya kushuhudia kwa mara ya kwanza Sherehe za kuapishwa Rais katika uwanja huu wa Jamhuri. Aliapishwa hapa Rais Magufuli hapa miezi mitano tu iliyopita.
Wananchi hawa leo wanashuhudia kwa mara kwanza kuagwa rasmi kitaifa kwa Rais Magufuli. Hakika ni pigo na jeraha zito kwao.