Mtume MDADA ako... huyo mwengine NoNitamtuma mdada aje kunichukulia au babe wangu slim atakuja kunichukulia jamani safari hii zamu yako na mimi natuma watu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyo mwingine usiyemtaka ndio atakuja sasa
Ebu niambie nini kinakuchekesha eti
Nimecheka hiyo sauti yako ya MAMLAKAEbu niambie nini kinakuchekesha eti
Hahahha ukiwa tayari niambie waje kunichukulia mizigo yangu
Ila hizi captions za millard ni za kibabe.Msemaji wa Familia ya Hayati Dkt John Magufuli, Ngusa Samike, amesema kabla ya kifo chake Hayati Dkt Magufuli aliongoza sala na nyimbo akiwa na Madaktari na Wauguzi wake.
Amesema pia kabla ya kifo cha Hayati Magufuli, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na Paroko wa Parokia ya St. Peter Padre Alister Makubi walimpatia huduma ya kiroho ya Upako Mtakatifu, lakini pia Shekhe Mkuu wa Tanzania Mufti Aboubakar Zubeir nae alimfanyia maombi kabla ya kifo chake.
RIPHayatiMagufuliView attachment 1730435
SanaaaaIla hizi captions za millard ni za kibabe.
Nafurahi pia Shunie, pole kwa msibaNipo sawa baba wawili nafurahi kukuona
Naendelea poa mjomba, habari za kwako?Mjomba mjomba ...unaendeleajeee
Asante mkuuKazi nzuri mtoto mlito.
Asante baba wawili pole kwa sote hiiNafurahi pia Shunie, pole kwa msiba