Makapuku Forum

“Mipango ya mazishi ni kwamba March 20,2021, mwili wa Hayati Dkt. Magufuli utatolewa Hospitali ya Jeshi Lugalo na kupelekwa Kanisa la ST.Peter’s Oysterbay kwa Ibada na baadaye utapelekwa Uwanja wa Uhuru kwa kuagwa na Viongozi, March 21,2021, Wananchi wa DSM watauaga mwili wa Hayati Dkt.Magufuli na baadaye mwili utasafirishwa kuelekea Dodoma”- Rais Samia Suluhu
RIPHayatiMagufuli
 
“Moja ya maamuzi ambayo Serikali imefanya ni kuweka Madaftari au vitabu vya maombolezo Nchi nzima kuanzia ngazi ya Taifa mpaka ngazi ya chini kabisa, Watu watapata nafasi walau kwenda kuandika au kusema kitu kumuaga Kiongozi wao, tuendelee kumuombea dua Kiongozi wetu” ——— Dr. Hassan Abbas, Msemaji Mkuu wa Serikali.
 
Habari za hapa niseme tu sio nzuri tupo kwenye msiba
Ni kweli huu msiba ni wetu sote

Huku vijijin watu wamechanganyikiwa


Ila mungu ni mwema anatutia nguvu na Leo kaapiswa mama maisha yataendelea


Nikupe hongera kwa mwanamke wa kwanza kuwa raisi

Wanawake mnahitaji mjipange kumtumia kama sehemu ya mafanikio yenu
 
Kweli kabisa Mungu amtangulie jaman amshike mkono kwenye uongozi wake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…