Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]![]()
Hivi hii kitu itawaka kweli?
Mzima wewe?Muwe na wakati mwema wote::;
Na kwako pia madame.Asubuh njema
Habari ya siku braza?Mkuu kwema?
Kwema sana ndugu yangu...Umepotea sana...Habari ya siku braza?
Niko njema mutu ya MunguMzima wewe?
U hali gani mkuuMzima wewe?
Mie nipo sana, ni majukumu tu yameniweka kutoonekana.Kwema sana ndugu yangu...Umepotea sana...
Kama majukumu yapo ndiyo kitu tunachokiomba mkuu...Tuko pamoja sana..Mie nipo sana, ni majukumu tu yameniweka kutoonekana.
Salama kabisa kaka. Habari ya siku vipi?U hali gani mkuu
Nashukuru kwa kusikia hivyo kaka.Kama majukumu yapo ndiyo kitu tunachokiomba mkuu...Tuko pamoja sana..
Umeona heee[emoji106] [emoji106] [emoji106]MAKAPUKU FORUM TUNATISHA
AaahZa subuhi jaman
Wana man Utd tusisahau baadaye kwenda kumuaga lvg, mech saa nne