Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 167,059
- 185,360
Embu niume sikia anakuambiagaje?Umenikumbusha kitu babe wangu anavyoniambia
Embu niume sikia anakuambiagaje?Umenikumbusha kitu babe wangu anavyoniambia
Ngoja kwaresma iishe nitakwambiaEmbu niume sikia anakuambiagaje?
Basi hizo habari zitakua nzito sana...Ngoja kwaresma iishe nitakwambia
Ushawahi umia au kuumizwa na namna hiyo??Inauma sanaView attachment 1712545
Sijawahi na naomba isinitokee nikishaona hayo mabadiliko najitoa taratibuUshawahi umia au kuumizwa na namna hiyo??
Ni kweli kabisa kwaresma na iheshimiwe...
Naheshimu kwaresma
HahahahNi kweli kabisa kwaresma na iheshimiwe...
Siyo siku ya kwaresma na bado mnashuhudiana tu... 😅Hahahah
HahhahaSiyo siku ya kwaresma na bado mnashuhudiana tu...![]()
Ila unajua kuna vitu vingine ukiviachia vipite hata malaika wenyewe wanakupiga vibao tena vya uso...Hahhaha
Unaviacha tu vipite sio kila kitu cha kuchukuaIla unajua kuna vitu vingine ukiviachia vipite hata malaika wenyewe wanakupiga vibao tena vya uso...
Je kama unacho tayari...Unaviacha tu vipite sio kila kitu cha kuchukua
Kama unacho basi hakuna kukiachia kabisaJe kama unacho tayari...
Kitu natural
Duuuuh