Kiama kisitokee tena cha khamsaaaa
Nategemeaa hutoniangushaa kwenye hilo...salama sana anko, mambo vipi ? Bado natafakari lile swali lako uliloniomba ushauri kuwa siku ya wapendanao utoke na wote wanne au ufanye usajiri mpya?
Nikikaa na ndugu yetu Nigendako jtano hii nitakupa jibu unalotaka
Salaam ankooooooUsiku mwema wadau wa jukwaa hili. ndugu yenu usingizi umekata nimechukua kalamu na daftari nichore picha usiku huu
Salaam moud habari yakoSalaam wana uzi
Kwenye sofaa au wapiiiiiiEeenh bwana
Hali ya hewa ya kukumbatiana tu![]()
Kama kawaidaKwenye sofaa au wapiiiiii