Makapuku Forum

Makapuku Forum

Simba wa nyika wanne wameonekana jana maeneo ya chang'ombe "Kwa Mkapa"
FB_IMG_1611808567115.jpg
 


Mimi ndio maana maisha yangu yana amani sana sitaki kufatilia maisha ya mtu mwingine anafanya nini atajua mwenyewe na maisha yake

Sasa wewe unafatiliaje maisha yangu yako sitaki hata kujua unavyoishi

Mimi nafatilia maisha ya babe wangu tu ndio anayenihusu

Muwe na usiku mwema damu ya Yesu iwalinde View attachment 1687745
Hongera, una hekima sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom