Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,228
- 39,956
Mumy nisikie tu u hali gani jioni hii mi nichomoke chap...Habar ya jion wapendwa??
Hapa napingana naweDonald Trump hawezi kuwa Raisi wa USA
Uwongo!!! Alimkandamiza kipa wa simba SIO washabikiAcha unazi ww
Hujaona bao alilowakandamiza
Mashabiki wa Kimba Sc mnaboa
.........

Hivi kumbe unatafta bwana!nioe bac
Huo ni utetezi usio na mashiko wakati misimu mitatu iliopita alikua anaassist na kufunga goal zaid ya 50 kubali tu kiwango kimeshukaKwa sababu saiv timu ina forward ye anachezesha na kuassist.
Tupe takwimu za assist
Uwongo!!! Alimkandamiza kipa wa simba SIO washabiki![]()
Jamaa kauli zake kuna kitu analenga wamarekan wengi wenye asili ya spain wanamuunga sana mkono kwa kile anachokisemaTrump asiposababisha vita ya tatu ya Dunia sijui....hapo kitakapokuja kipindi cha kulia na kusaga meno![]()
Mkimbize huyo panya bukuNaona umetumwa si bure?
Hayo ni matumizi mabaya ya viungoHapana shem
Nisije nikapasua tumbo na kilichopo ndani yake
Mzima wewe?!!
Njema mtumishiHabar ya jion wapendwa??
Huku wameolewa woteHabari wakapuku wenzangu...nina jambo,,, na jambo lenyewe ni hili..
Atakaekuwa tayari ani P.M Inshaallah..
SIFA ZA MKE MTARAJIWA NINAYEMUHITAJI...
1. Awe na hofu na MUNGU.
2. Awe na UPENDOwa kweli bila kujali hali ya mtu.
3. Awe na MOYOwa huruma na KUSAMEHE kwasababu hakuna binadamu aliyekamilika.
4. Awe na MAWAZO ya KIMAENDELEO na si mawazo Hasi.
5. Awe mwenyeji wa ZANZIBAR (Znzbar au Pemba).
6. Awe MUISLAMU thabiti.
SIFA ZA KIUMBO/KIMUONEKANO.
1. Awe na MIAKA 20-23.
**(Mimi nina 26 yrs)
2. Awe MWEUPE.
3. Awe MREFU.
4. Awe MODO (Si Mnene wala si Mwembamba...yani Saizi ya Kati).
5. Awe anapenda KUJISTIRI na Mavazi ya Heshima.
6. Awe na FIGURE(Hips Kidgo.. Mashaallah)
7. Awe hajawahi kuingia LEBA.
8. Chuchu saa6.
INSHAALLAH...Kwa Uwezo Wake Ntampata MKE MWEMA na Tunayeendana...%%
Amin.![]()
Leo umempaka rangi ya chama la wana!!!![]()
FC Vyura
.......
Habari mkuuMumy nisikie tu u hali gani jioni hii mi nichomoke chap...
Bunge MovieBunge letu ni vichekesho sana