Makapuku Forum

Makapuku Forum

Habari wakapuku wenzangu...nina jambo,,, na jambo lenyewe ni hili..

Atakaekuwa tayari ani P.M Inshaallah..

SIFA ZA MKE MTARAJIWA NINAYEMUHITAJI...

1. Awe na hofu na MUNGU.

2. Awe na UPENDO wa kweli bila kujali hali ya mtu.

3. Awe na MOYO wa huruma na KUSAMEHE kwasababu hakuna binadamu aliyekamilika.

4. Awe na MAWAZO ya KIMAENDELEO na si mawazo Hasi.

5. Awe mwenyeji wa ZANZIBAR (Znzbar au Pemba).

6. Awe MUISLAMU thabiti.

SIFA ZA KIUMBO/KIMUONEKANO.

1. Awe na MIAKA 20-23.

**(Mimi nina 26 yrs)

2. Awe MWEUPE.

3. Awe MREFU.

4. Awe MODO (Si Mnene wala si Mwembamba...yani Saizi ya Kati).

5. Awe anapenda KUJISTIRI na Mavazi ya Heshima.

6. Awe na FIGURE (Hips Kidgo.. Mashaallah)

7. Awe hajawahi kuingia LEBA.

8. Chuchu saa6.

INSHAALLAH...Kwa Uwezo Wake Ntampata MKE MWEMA na Tunayeendana...%%

Amin.
Hebu jaribu kwa faiza fyox*
 
J
7d5fa988228a7e6f10cc977d3333ee0e.jpg
Jamaa hajui mpira!!!
Ni km Yanga mbele kuna Tamblwe & Ngoma lazima wagawane magoli ..Tambwe kamzidi Ngoma magoli lkn kiwango cha Ngoma ni balaaa.....
ngoma huyuhuyu aliyetolewa na al ahly
 
91c5c6dbb6a6c29b58c93f86791f3904.jpg

Kwa mara ya kwanza katika historia ya FIFA
Mwanamke wa kwanza kua katibu mkuu wa FIFA kutoka barani afrika
Nae ni bi fatma samba diouf samoura kutoka senegal

Ni mwanadiplomasia na amefanya kazi UN kwa miaka 21
 
Habari wakapuku wenzangu...nina jambo,,, na jambo lenyewe ni hili..

Atakaekuwa tayari ani P.M Inshaallah..

SIFA ZA MKE MTARAJIWA NINAYEMUHITAJI...

1. Awe na hofu na MUNGU.

2. Awe na UPENDO wa kweli bila kujali hali ya mtu.

3. Awe na MOYO wa huruma na KUSAMEHE kwasababu hakuna binadamu aliyekamilika.

4. Awe na MAWAZO ya KIMAENDELEO na si mawazo Hasi.

5. Awe mwenyeji wa ZANZIBAR (Znzbar au Pemba).

6. Awe MUISLAMU thabiti.

SIFA ZA KIUMBO/KIMUONEKANO.

1. Awe na MIAKA 20-23.

**(Mimi nina 26 yrs)

2. Awe MWEUPE.

3. Awe MREFU.

4. Awe MODO (Si Mnene wala si Mwembamba...yani Saizi ya Kati).

5. Awe anapenda KUJISTIRI na Mavazi ya Heshima.

6. Awe na FIGURE (Hips Kidgo.. Mashaallah)

7. Awe hajawahi kuingia LEBA.

8. Chuchu saa6.

INSHAALLAH...Kwa Uwezo Wake Ntampata MKE MWEMA na Tunayeendana...%%

Amin.
Mbona hii hamja-like???
 
Fuatilia vizuri soka mkuu acha habari za kusimuliwa.
Kabla ya Suarez, Messi alikuwa anacheza kama "false striker" lakini baada ya Suarez amekuwa akitokea deep row kama winga wa kulia. Hii imemfanya asiingie mara kwa mara eneo la hatari na kumfanya asitupie sana na ndo maana amekuwa ana assist zaidi.
Senkyu Ticha
 
Donald trump amesema huenda asiwe na maelewano mazuri na waziri mkuu wa england david cameroon kama akichaguliwa kua rais wa marekani baada ya waziri mkuu huyo kumwita ni mjinga na mbaguzi
Cameroon aligoma kufuta kauli yake hiyo
Trump asiposababisha vita ya tatu ya Dunia sijui....hapo kitakapokuja kipindi cha kulia na kusaga meno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom