Habari wakapuku wenzangu...nina jambo,,, na jambo lenyewe ni hili..
Atakaekuwa tayari ani P.M Inshaallah..
SIFA ZA MKE MTARAJIWA NINAYEMUHITAJI...



1. Awe na hofu na MUNGU.
2. Awe na UPENDO

wa kweli bila kujali hali ya mtu.
3. Awe na MOYO

wa huruma na KUSAMEHE kwasababu hakuna binadamu aliyekamilika.
4. Awe na MAWAZO ya KIMAENDELEO na si mawazo Hasi.
5. Awe mwenyeji wa ZANZIBAR (Znzbar au Pemba).
6. Awe MUISLAMU thabiti.
SIFA ZA KIUMBO/KIMUONEKANO.
1. Awe na MIAKA 20-23.
**(Mimi nina 26 yrs)
2. Awe MWEUPE.
3. Awe MREFU.
4. Awe MODO (Si Mnene wala si Mwembamba...yani Saizi ya Kati).
5. Awe anapenda KUJISTIRI na Mavazi ya Heshima.
6. Awe na FIGURE

(Hips Kidgo.. Mashaallah)
7. Awe hajawahi kuingia LEBA.
8. Chuchu saa6.






INSHAALLAH...Kwa Uwezo Wake Ntampata MKE MWEMA na Tunayeendana...%%
Amin.




