Makapuku Forum

Hebu jaribu kwa faiza fyox*
 


Kwa mara ya kwanza katika historia ya FIFA
Mwanamke wa kwanza kua katibu mkuu wa FIFA kutoka barani afrika
Nae ni bi fatma samba diouf samoura kutoka senegal

Ni mwanadiplomasia na amefanya kazi UN kwa miaka 21
 
Mbona hii hamja-like???
 
Senkyu Ticha
 
Donald trump amesema huenda asiwe na maelewano mazuri na waziri mkuu wa england david cameroon kama akichaguliwa kua rais wa marekani baada ya waziri mkuu huyo kumwita ni mjinga na mbaguzi
Cameroon aligoma kufuta kauli yake hiyo
Trump asiposababisha vita ya tatu ya Dunia sijui....hapo kitakapokuja kipindi cha kulia na kusaga meno
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…