Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Dec 26, 2020 #383,821 Shunie said: Ameen pokea kwa jina la Yesu Click to expand... Aminaaaa
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 26, 2020 #383,822 Da'Vinci said: Hahahaaa ww ulikua umeanza kunibatiza jina Click to expand... Kwamba safari hii natupiwa lawama me ndio nimesababisha umrudishe vinci
Da'Vinci said: Hahahaaa ww ulikua umeanza kunibatiza jina Click to expand... Kwamba safari hii natupiwa lawama me ndio nimesababisha umrudishe vinci
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 26, 2020 #383,823 mbalizi1 said: Ahahaaahaaaaaaa, mazoezi muhimu sana yanasaidia hata pumzi tukaapo pale kati Merry Christmas kwa wote.....hallelujaaaaaa Click to expand... Woyooooo Pale kati patamu bwana au nasema uwongo mzee kigwangalla
mbalizi1 said: Ahahaaahaaaaaaa, mazoezi muhimu sana yanasaidia hata pumzi tukaapo pale kati Merry Christmas kwa wote.....hallelujaaaaaa Click to expand... Woyooooo Pale kati patamu bwana au nasema uwongo mzee kigwangalla
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 26, 2020 #383,824 Nigendako said: Eti Nyegezi...lipo la kutosha Shunie Click to expand... Baba wawili si upo nyegezi au umeshahama tena upo mkoa mwingine
Nigendako said: Eti Nyegezi...lipo la kutosha Shunie Click to expand... Baba wawili si upo nyegezi au umeshahama tena upo mkoa mwingine
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Dec 26, 2020 #383,825 Lee said: Stress tu mjomba kibaridii hiki mtoto mlito ndio ashapataa bwasheee kwa nn nisichapie Click to expand... Mkuu, inabidi uzoe haina jinsi tena
Lee said: Stress tu mjomba kibaridii hiki mtoto mlito ndio ashapataa bwasheee kwa nn nisichapie Click to expand... Mkuu, inabidi uzoe haina jinsi tena
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 26, 2020 #383,826 Nigendako said: Dah, kwann sasa? Click to expand... Hivi unafanya mchezo na kuachia sura jf huo ni zaidi ya ujasiri
Nigendako said: Dah, kwann sasa? Click to expand... Hivi unafanya mchezo na kuachia sura jf huo ni zaidi ya ujasiri
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Dec 26, 2020 #383,827 Shunie said: Baba wawili si upo nyegezi au umeshahama tena upo mkoa mwingine Click to expand... Hapana mtoto mlito, nipo hapa hapa nyegezi
Shunie said: Baba wawili si upo nyegezi au umeshahama tena upo mkoa mwingine Click to expand... Hapana mtoto mlito, nipo hapa hapa nyegezi
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Dec 26, 2020 #383,828 Shunie said: Hivi unafanya mchezo na kuachia sura jf huo ni zaidi ya ujasiri Click to expand... Haha ila kule kwenye selfie kuna watu wanaachia sura wazi
Shunie said: Hivi unafanya mchezo na kuachia sura jf huo ni zaidi ya ujasiri Click to expand... Haha ila kule kwenye selfie kuna watu wanaachia sura wazi
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 26, 2020 #383,829 Nigendako said: Haha ila kule kwenye selfie kuna watu wanaachia sura wazi Click to expand... Sasa me siwezi shindana nao ujue me mtu mzima baba wawili siwezi jamani Ukiona mtu anacha sura wazi ujue mgeni jf hata mwaka hana
Nigendako said: Haha ila kule kwenye selfie kuna watu wanaachia sura wazi Click to expand... Sasa me siwezi shindana nao ujue me mtu mzima baba wawili siwezi jamani Ukiona mtu anacha sura wazi ujue mgeni jf hata mwaka hana
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 26, 2020 #383,830 Nigendako said: Hapana mtoto mlito, nipo hapa hapa nyegezi Click to expand... Kama nakuona unavyokula masamaki
Nigendako said: Hapana mtoto mlito, nipo hapa hapa nyegezi Click to expand... Kama nakuona unavyokula masamaki
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 26, 2020 #383,831 Baba wawili mjomba ako mtu chake kaweka kambi kwenye selfie sijui ameshapata mchuchu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 26, 2020 #383,832 Ila kupendwa raha jamaniiii
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 26, 2020 #383,833 Ila haya maisha haya ukipanick unajitakia halafu unaweza kufwa kabla ya siku zako Unatuacha wenzio tunakula raha tu
Ila haya maisha haya ukipanick unajitakia halafu unaweza kufwa kabla ya siku zako Unatuacha wenzio tunakula raha tu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 26, 2020 #383,834 Maisha ni vile mwenyewe unavyopanga na uvyotaka uishi
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 26, 2020 #383,835 Mimi siwezi eti kukosa raha sababu mtu ameamua tu anitese sio shunie mimi
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 26, 2020 #383,836 Nikikupenda nitakupenda sanaaa mpaka malaika ataona wivu Tunaweza hata kulala na njaa kama hatuna chakula. Ila mapenzi jamani shikamoo mapenzi
Nikikupenda nitakupenda sanaaa mpaka malaika ataona wivu Tunaweza hata kulala na njaa kama hatuna chakula. Ila mapenzi jamani shikamoo mapenzi
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 26, 2020 #383,837 Mimi ukininunia unapata tabu bure yaani me naishi maisha yangu yanayonipa furaha na amani
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 26, 2020 #383,838 Mwenyewe nikiingia zangu hivi makapuku najinenea zangu kwa lugha mwenyewe napata amani sana na furaha
Mwenyewe nikiingia zangu hivi makapuku najinenea zangu kwa lugha mwenyewe napata amani sana na furaha
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Dec 26, 2020 #383,839 Shunie said: Ila haya maisha haya ukipanick unajitakia halafu unaweza kufwa kabla ya siku zako Unatuacha wenzio tunakula raha tu Click to expand...
Shunie said: Ila haya maisha haya ukipanick unajitakia halafu unaweza kufwa kabla ya siku zako Unatuacha wenzio tunakula raha tu Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 26, 2020 #383,840 Lee said: Click to expand... Jichekee tu maisha ndio hayahaya matamu sana na mafupi sana ukipata nafasi ya kufurahi furahiii tu Ukipata nafasi ya kupendwa pendwa tu Ukipata nafasi ya kumpenda mtu mpende tu mshikilie usimwachie
Lee said: Click to expand... Jichekee tu maisha ndio hayahaya matamu sana na mafupi sana ukipata nafasi ya kufurahi furahiii tu Ukipata nafasi ya kupendwa pendwa tu Ukipata nafasi ya kumpenda mtu mpende tu mshikilie usimwachie