Tunakupenda pia Shunie, hauna baya na mtu..Asante sana baba wawili jamani nawapenda tu mimi
Anayenichukia aendelee kunichukia tu [emoji1787] me nafurahi na maisha yangu yaani naenjoy sanaaaa
Leo aslay baba wawiliMashairi yako mtoto mlito...
Leo unakuja na yapi shunie, ya marioo, mbosso
Hamna bwana Mello kasema tuwe tunaitana mkuu au baba wawili umesahauHahaha mjombaa atakuwa kayachanganya mwenyewe, huwa haumuit mkuu bwana[emoji28]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Tunakupenda pia Shunie, hauna baya na mtu..
Hakuna akuchukiaye Shunie!!
Tusambaze upendo kwani maisha ni haya haya tu.
Apia ShunieHata tukilala na njaaa nakuona mpya babe [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Kwamba baba wawili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huniaminiApia Shunie
Hahahah leo sitoki hapa,Leo aslay baba wawili
Halafu baba wawili nakujua mimi ulivyo mchochezi ndio maana unacheka sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahah leo sitoki hapa,
Najiandaa kusoma mashairi yakisindikizwa na ripoti tatu kwa udhamini wa kijani[emoji28]
Najua kuna vitu vizuri vinakuja hapa
Ndio shunie [emoji28][emoji28]Kwamba baba wawili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huniamini
Nikipenda shunie mimi napenda haswa naingia na miguu yangu yote
Yaaaan mjomba akionaa hii sina pa kwenda ...kutoka baby sweetheart kipenzii kuporomokaaa mpaka mkuuHeshima yako mkuu
Heri ya xmass
Eeenh baba wawili halafu mwanaume baada akushikilie anakuachia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio shunie [emoji28][emoji28]
Kwamba unaingia mazima mazima