dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,829
- 20,336
Hapana jamaniMchochezi we jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jibu lako limenifanya nirudi hapa kwa kicheko
Hapana jamaniMchochezi we jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahah cheka bwana maisha ndio hayahayaHapana jamani
Jibu lako limenifanya nirudi hapa kwa kicheko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hivi Shunie anapatiwa limuhogo la maana!View attachment 1528917
Niko karibuu na maeneo yakoo naruhusiwaa kuchunguliaa auTukiachana nitapata mwingine kama hivi tunapendana hivihivi tabu ipo pale pale
Aisee.. [emoji134]Hizo bingiri bingiri mpaka chini
Nakupa pingili bafuni kabatini
Beiby lako timwili timbwili la kijini
Mmmh aah aaah [emoji847]
Aisee, kwa hyo sasa hv hatuoni tena ile chupa ya kijan na remote kama zoteNa pombe umeniachisha kweli jamani Mungu akuweke tu jamani [emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vile Lee analia kwa sasa!View attachment 1528906
Nipo zanzibarNiko karibuu na maeneo yakoo naruhusiwaa kuchunguliaa au
Acha watekane tu bwanaWamejua kutekana na da tumo jamani..
Baba wawili nimeachishwa pombe yaani acha tu nikizimiss nakunywa kwa kujificha Nina miezi karibia 6 sasaAisee, kwa hyo sasa hv hatuoni tena ile chupa ya kijan na remote kama zote
Nini wewe bwanaAisee.. [emoji134]
Kwani vepe?Nini wewe bwana
Mambo ni faya jirani [emoji23][emoji23]Kwani vepe?
Na kweliii nmeonaaa status za boatsNipo zanzibar
Ndiyoo... Watuletee na zawadi ya watoto wa kucheza nao humu[emoji4]Acha watekane tu bwana
Kho kho kho kho kho khooooooooBaba wawili nimeachishwa pombe yaani acha tu nikizimiss nakunywa kwa kujificha Nina miezi karibia 6 sasa
Umenichekesha et ukizimiss unakunywa kwa kujificha.. Si unateseka sasa?Baba wawili nimeachishwa pombe yaani acha tu nikizimiss nakunywa kwa kujificha Nina miezi karibia 6 sasa
Salamaaaa x wangu wa kwanzaNdiyoo... Watuletee na zawadi ya watoto wa kucheza nao humu[emoji4]
Yaani hatari hatari.. jirani, penzi limemvuruga huyu binti[emoji1]Mambo ni faya jirani [emoji23][emoji23]