Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Upo kweli
Kuna kipindi nilikutafuta sana....
Upo kweli
Mambo yalikuwa mengi sana, kama unavyojua dunia yetu, ups and down kibao, ila sasa nimerudi kwenye track, kama nawe upo vizuri tulianzishe upyaaaUpo kweli
Kuna kipindi nilikutafuta sana....
DuuhMambo yalikuwa mengi sana, kama unavyojua dunia yetu, ups and down kibao, ila sasa nimerudi kwenye track, kama nawe upo vizuri tulianzishe upyaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ni muda mrefu.Kama sikosei nakumbuka nilipewa ulezi wa huu uzi
Jr[emoji769]
Poa poa, ngoja tuone itakavyokuwaDuuh
Naona mambo yashabadilika sana
Ngoja nisikilizie ......
Dah halafu kuna mwana akaniambia nimekuja kutafuta likes [emoji23][emoji23][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23]
Mzee baba upo ?
NimekuPM
It's all about life. hahahaDah halafu kuna mwana akaniambia nimekuja kutafuta likes [emoji23][emoji23][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Nipo aisee tunapambana na maisha tu. Vipi kwema hukoMzee baba upo ?
Leo siku ya ajabu sana watu watatu tuliopoteana muda mrefu tumekutana.....
Mimi mzima kabisa
Ndio na tumekuja hapa wakati muafakaMzee baba upo ?
Leo siku ya ajabu sana watu watatu tuliopoteana muda mrefu tumekutana.....
Napambana na maisha tuMimi mzima kabisa
Pambana na maisha usipambane na watu....