Sipati picha hii ingekuwa bongoView attachment 1454817
Hizi mara nyingi huwa ni Members only Gym and clubs..
Hata Dar na Arusha zipo pia..!
Na Wengi watu ambao wanafahamiana. Not strangers, na wengi ni families.
Wanaume kuna ujumbe wenuView attachment 1454823
Kama we member uko nipeleke nikawachungulie [emoji847]
Kwavile jumapili wamesema ndio kikomo, naona kila kitu kitarudi kama awali,Tulikumiss pia mpenzi huku corona tu
Bongo haiwezekani hiiSipati picha hii ingekuwa bongoView attachment 1454817
Kwavile jumapili wamwsema ndio kikomo, naona kila kitu kitarudi kama awali,
Sent using Jamii Forums mobile app