Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Kwa niaba shunie mzima kabisa
Hahahahah babe bwana
Kwa niaba shunie mzima kabisa
Naomba nikupm[emoji16][emoji16]
The only thing to fear is fear itself
Mmmh kwahiyo wewe T unanijua mimi sikujui eti
Kabisa Mama D..
Afu huwa nakuzoom tuu.
Nacheka kama uncle Maguu.. [emoji23]
Aiseee kwahiyo uliniona wapi eti sasa si uwe unanisalimia
Kicheko chako kinanipa uogaHahahhah karibu sana
Kicheko chako kinanipa uoga
The only thing to fear is fear itself
Ile ile mitaa yetu Mama D..
Hahaha duh...sawa JiraniWengine tumeshazoea kucheka usiogope we mwanaume ujue
Hahaha duh...sawa Jirani
The only thing to fear is fear itself
Kwani jirani mie naonekana muoga!?!?Mbona duh tena jirani acha woga
Dah kumbe umebadilisha jina, kwamba haupo copenhagen tena?? Nilikuwa Kolding dec last year sema sikukaa muda mrefu hivyo sikuweza hata kukutafuta
Nimeshakaribia dear! Niliwamiss mno, hebu nipe habari mpya za 2020 zilizojiri hapa kwa ufupiAsante dear karibu sana
Hahahaha, shangazi we ndio umepotea mm nipo ,mambo vipiHatujambo we mzee mbona umepotea hivi
Nashukuru pia, nafurahi kuona tuko wazima
Nawe pia Rafiki
Kwani jirani mie naonekana muoga!?!?
The only thing to fear is fear itself