Okei, ila nyimbo zake ziko kama anarudia rudia za zamani hivi, kwa mfano hiyo work, ni mpya ila ktk masikio yangu naifananisha na track yake moja hivi alikuwa ktk video amevaa kama vazi la pundamilia/ chui hivi.
Naona baadhi ya nyimbo zake anamiks zake za zamani na kupata mpya! Ila anajitahidi.