micro endoscope
Member
- Apr 30, 2020
- 60
- 98
Marafiki wamekuwa wakisimama nasi pengine zaidi ya ndugu!
βΊβΊβΊ sawa dadaUtazeeka mapema dear, kunjua sura hiyo
We haya tu πKeshatia timu mwenyewe haya sasa kazi kweli kweli
Ni wivu tuuu! Kuingilia yasiyokuhusu wala usiyoyajua[emoji2211][emoji2211][emoji2211]Huku hakuna kibonge
Ndio MkuuTena ukute wengine ni wazazi lakini hawapendi mafanikio yetu.
Rafiki ndo anakuwa kipaumbele mshauri na mwenye kukupa dira ya kimaisha.
NB.
Si kila rafiki ni mwema.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaahNi wivu tuuu! Kuingilia yasiyokuhusu wala usiyoyajua[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Ewaaaaa[emoji5][emoji5][emoji5] sawa dada
Kako simple simple........We haya tu π
HahahaKako simple simple........
Hakanaga makuu.......
Umeshasema wewe jamaniMbona mimi unanivumilia eti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yanawasha jamani kooniHahahahaha
Maji ya malimao yanalewesha eeehh
Hahhaa vingine vigumu kuelewekaHallelujah
Huwa unaelewa sema ukivuruge tuu
Kwahiyo ulitaka kumpiga money penny [emoji1787][emoji1787][emoji5][emoji5][emoji5] sawa dada
ππππ umeanza!! Me nishasahau bwanaKwahiyo ulitaka kumpiga money penny [emoji1787][emoji1787]
Hahaha ujue nikikuona tu nakumbuka nabaki nacheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeanza!! Me nishasahau bwana