Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 2, 2020 #380,701 Mjep said: Kweli sina cha kukunyima mkuu ntaanzaje sasa kumnyima mrembo Sakayo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wewe naona unataka kuninyima kitu, hebu sema ukweli!
Mjep said: Kweli sina cha kukunyima mkuu ntaanzaje sasa kumnyima mrembo Sakayo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wewe naona unataka kuninyima kitu, hebu sema ukweli!
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 2, 2020 #380,702 Mjep said: Leo naona unamwaga madini tu mkuu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahahahah Mdogo mdogo jamani!
Mjep said: Leo naona unamwaga madini tu mkuu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahahahah Mdogo mdogo jamani!
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 2, 2020 #380,703 Unayekutana naye leo ndo anayeweza kuwa msaada wako kesho! Kama sio kwako basi kwa wanao!!
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,880 May 2, 2020 #380,704 Sakayo said: Wewe naona unataka kuninyima kitu, hebu sema ukweli! Click to expand... Huo ujasiri sina kwa kweli hata mdogo wangu Depal anajua Sent using Jamii Forums mobile app
Sakayo said: Wewe naona unataka kuninyima kitu, hebu sema ukweli! Click to expand... Huo ujasiri sina kwa kweli hata mdogo wangu Depal anajua Sent using Jamii Forums mobile app
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 2, 2020 #380,705 Haijalishi mmekutana wapi, mheshimu!
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 2, 2020 #380,706 Mjep said: Huo ujasiri sina kwa kweli hata mdogo wangu Depal anajua Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Inabidi niamini tuu mimi jamani!! Hujambo lakini
Mjep said: Huo ujasiri sina kwa kweli hata mdogo wangu Depal anajua Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Inabidi niamini tuu mimi jamani!! Hujambo lakini
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 2, 2020 #380,707 Binadamu tunatofautiana sana! Na hiyo ndo sababu ya kuitwa BINADAMU! Jitahidi kuishi na kila mmoja kulingana na tabia yake
Binadamu tunatofautiana sana! Na hiyo ndo sababu ya kuitwa BINADAMU! Jitahidi kuishi na kila mmoja kulingana na tabia yake
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,880 May 2, 2020 #380,708 Sakayo said: Inabidi niamini tuu mimi jamani!! Hujambo lakini Click to expand... Mi mzima wa afya rafiki yangu Naendelea kujifukiza taratiibu na kuzingatia maelekezo
Sakayo said: Inabidi niamini tuu mimi jamani!! Hujambo lakini Click to expand... Mi mzima wa afya rafiki yangu Naendelea kujifukiza taratiibu na kuzingatia maelekezo
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 2, 2020 #380,709 Ishi ukiwa unajua hata wewe pia una mapungufu, ila wengine nao wanaishi nawe na kukujali pamoja na mapungufu yako
Ishi ukiwa unajua hata wewe pia una mapungufu, ila wengine nao wanaishi nawe na kukujali pamoja na mapungufu yako
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 2, 2020 #380,710 Sakayo said: Binadamu tunatofautiana sana! Na hiyo ndo sababu ya kuitwa BINADAMU! Jitahidi kuishi na kila mmoja kulingana na tabia yake Click to expand... Tabia zingine hazivumiliki unavumilia weeh inafikia mwisho sasa unasema basi kila mtu aendelee na mambo zake
Sakayo said: Binadamu tunatofautiana sana! Na hiyo ndo sababu ya kuitwa BINADAMU! Jitahidi kuishi na kila mmoja kulingana na tabia yake Click to expand... Tabia zingine hazivumiliki unavumilia weeh inafikia mwisho sasa unasema basi kila mtu aendelee na mambo zake
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 2, 2020 #380,711 Mjep said: Mi mzima wa afya rafiki yangu Naendelea kujifukiza taratiibu na kuzingatia maelekezo Click to expand... Ewaaaaa Hilo ndo la muhimu!
Mjep said: Mi mzima wa afya rafiki yangu Naendelea kujifukiza taratiibu na kuzingatia maelekezo Click to expand... Ewaaaaa Hilo ndo la muhimu!
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 2, 2020 #380,712 Shunie said: Tabia zingine hazivumiliki unavumilia weeh inafikia mwisho sasa unasema basi kila mtu aendelee na mambo zake Click to expand... Tabia zinatofautiana! Tusitengane sababu ya tabia zetu
Shunie said: Tabia zingine hazivumiliki unavumilia weeh inafikia mwisho sasa unasema basi kila mtu aendelee na mambo zake Click to expand... Tabia zinatofautiana! Tusitengane sababu ya tabia zetu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 2, 2020 #380,713 Sakayo said: Hahahahah Ushaamka kivurugee wangu Click to expand... Nimeamka na leo nashinda humu tena
Sakayo said: Hahahahah Ushaamka kivurugee wangu Click to expand... Nimeamka na leo nashinda humu tena
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 2, 2020 #380,714 Wengi tupo jinsi tulivyo sababu ya marafiki!
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 2, 2020 #380,715 Shunie said: Nimeamka na leo nashinda humu tena Click to expand... Hallelujah Usisahau kunywa maji ya malimao na tangawizi dear
Shunie said: Nimeamka na leo nashinda humu tena Click to expand... Hallelujah Usisahau kunywa maji ya malimao na tangawizi dear
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 2, 2020 #380,716 Marafiki wamekuwa wakisimama nasi pengine zaidi ya ndugu!
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 2, 2020 #380,717 Sakayo said: Hallelujah Usisahau kunywa maji ya malimao na tangawizi dear Click to expand... Naachaje jana usiku nimekunywa na sasa hivi nimeamka nayo na kikohozi kimepungua
Sakayo said: Hallelujah Usisahau kunywa maji ya malimao na tangawizi dear Click to expand... Naachaje jana usiku nimekunywa na sasa hivi nimeamka nayo na kikohozi kimepungua
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 May 2, 2020 #380,718 Sakayo said: Tabia zinatofautiana! Tusitengane sababu ya tabia zetu Click to expand... Mmh
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 2, 2020 #380,719 Marafiki wanaweza kugeuka ndugu, pale ambapo mtaweza kuvumiliana na kuchukuliana
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 May 2, 2020 #380,720 Shunie said: Naachaje jana usiku nimekunya na sasa hivi nimeamka nayo na kikohozi kimepungua Click to expand... Pole sana jamani
Shunie said: Naachaje jana usiku nimekunya na sasa hivi nimeamka nayo na kikohozi kimepungua Click to expand... Pole sana jamani