[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Au upo na bae wako mnacheza mnabadilishana nguo vingine vinipite acha niwe mtazamaji ujue unakuwa nusu chizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aki sitawezana na tiktok
Inawezekana eti hivi huyu mzee wake shunie ni muhenga mbona anapendaga uchochezi lakiniNi mkarimu sana huyo mzee, umri nao unachangia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani siku hizi kila kitu kinaogopesha kidogo unajikuta kwa dada mange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sijawahi waelewa kabisaa jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Au upo na bae wako mnacheza mnabadilishana nguo vingine vinipite acha niwe mtazamaji ujue unakuwa nusu chizi
HahahahahInawezekana eti hivi huyu mzee wake shunie ni muhenga mbona anapendaga uchochezi lakini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akikuitikia mwambie na mimi namsalimia jirani muhandsome nimemkuta sehemu anadaiwa picha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nikikutaga viclip vyao nabaki kushangaa kama mshambaMimi sijawahi waelewa kabisaa jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naonaga kama wenzangu wapo dunia ingine
Anaweza kuwa muhenga kuna kipindi jukwaa la siasa kulikuwa na thread ya rais Kabila akawa anaulizwa we mzee si kabila wewe ebu tia neno kama kawaida yake akatoa kichekoHahahahah
Mimi najuaga ni mhenga juu ya avatar yake
Kwakweli nitamuuliza alikuwa anaombwa picha gani na warembo wa jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaahhh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nikikutaga viclip vyao nabaki kushangaa kama mshamba
HahahahahAnaweza kuwa muhenga kuna kipindi jukwaa la siasa kulikuwa na thread ya rais Kabila akawa anaulizwa we mzee si kabila wewe ebu tia neno kama kawaida yake akatoa kicheko
Muulize hebuKwakweli nitamuuliza alikuwa anaombwa picha gani na warembo wa jf
Wakat niko form two nlikua nachekwa Nina eti manywele [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahahah
Ni mhenga atakuwa
Ngoja wenye manywele yao wakusikie
Ebu weka picha bwanaWakat niko form two nlikua nachekwa Nina eti manywele [emoji3][emoji3][emoji3]
I'm on that good kush and alcohol
Nini tena hicho jamani love!