Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,283
- 95,577
Asee, naanza kupatwa na hofu juu yake , Shunie wangu uko wapi ? Mzee mwenzio nakumiss sanaBado hajakuja jamani
Sijuii kapatwa na nini wewe mzee ake Shunie
Asee, naanza kupatwa na hofu juu yake , Shunie wangu uko wapi ? Mzee mwenzio nakumiss sanaBado hajakuja jamani
Sijuii kapatwa na nini wewe mzee ake Shunie
[emoji120][emoji120][emoji120]Niko vizuri mno hadi nachukiza
Mto mlito kapotelea wapi?
Bado hajakuja jamani
Sijuii kapatwa na nini wewe mzee ake Shunie
Bado hajaja tu ? au ndio lockdown ?
Hamjambo wadogo zangu humu Jukwaani ?
Nipo shunie, mambo mengi tu... I miss you
MmmhhhUbusy tu jamani
Mmmhhh
Marahaba mrembo...Ila kutoa Shikamoo(kaka) si lazima.Kwani tunanyimana nini?Hatujambo kaka shikamoo