Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hakuna cha kunyimana kaka na kumnyima mtu kitu unacho dhambi sana
Hakika.Tena ukute wewe ulichonacho yeye hana.Anakuomba humsaidii....Ngoja niongee taratibu maana nilikua nazunguka hapa nikasikia Jirani yako anamwambia baby wako kwamba haupo.Asije kutubamba
 
Ngoja niongee taratibu tu mana Jirani yako ataenda tu kukusemea.Ila uzuri hapa mtaani kuna kile chumba cha siri pale mbele ya ile hoteli,labda tunaweza kukutana huko hata tuongee ma2 ma3 .

Halafu napataga salaam zako unakuja sana dar kwani kaka mimi na wewe tuna ugomviii? Niombe msamaha si unajua nilivyo mwepesi kumuomba mtu msamaha aliyenikosea
 
Halafu napataga salaam zako unakuja sana dar kwani kaka mimi na wewe tuna ugomviii? Niombe msamaha si unajua nilivyo mwepesi kumuomba mtu msamaha aliyenikosea
Kwanza me sipendi ugomvi kabisa,ngoja tukutane kwenye kile chumba cha siri(PM) nikuombe tu msamaha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom