mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,944
- 43,358
Hahahahaha
Haya nishafika, umejificha kwa wapi sikuoniHahahahaha
Njoo basi turuke jamani
Haya nishafika, umejificha kwa wapi sikuoni
Hahaa








Hahahahahaaaaaaaa
Nipo hapa mimi jamani, nyuma ya nyumba si unajua mom hapendi kelele
Hahaha, mimi niko shambani hakuna aliyenilock, nikitaka kuingina kf inabidi nipande kileleni... ndipo ninase networkNachojua leo ni weekend na sina sababu ya kutkukusalimia wewe mdau wa Jukwaa hili linalonipa sababu ya kuwepo, wewe ndo sababu mimi niko hapa na kwa taarifa yako tu, nimekutana na Jose Cuervo usiku huu tunaifurahia karantini, Tetramelyz unaonekana kwa nadra sana hapa jamvini au lockdown imekufanya ushindwe kutouchdown mitaa hii
Baby tabiaa mbaya
nevu~ndevuMimi na wewe eeh
Ni kama nevu na kambale lazizi![]()
Nipo shunie, mambo mengi tu... I miss youBaba wawili hivi uko wapiii ningendako toka nimeingia sijakuona
Heshima yako mjombaaBaby tabiaa mbaya
JamaaaniiiBaby tabiaa mbaya
Mjombaaa poleeeHeshima yako mjombaa
Ndioooooo ....mbona hukunitumiaa pm tulichokubalianaJamaaaniii
Pm yako si umefungaNdioooooo ....mbona hukunitumiaa pm tulichokubaliana
Nimefunguaa kwa ajili yakoo ujuePm yako si umefunga
Nakuja mimi jamaniNimefunguaa kwa ajili yakoo ujue
Asantee kwa kujaNakuja mimi jamani
HayaAsantee kwa kuja
Pole ya nini mjombaaMjombaaa poleee