Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,244
- 90,420
Hahahaha, ahsante ila sadaka nampa shangazi Shunie awasilishe.....bado hawajaamka na wengine ndo tunamalizia maombi ya kuitokomeza corona hapa mjini. karibu kwenye sala, usisahau sadaka
Hahahaha, ahsante ila sadaka nampa shangazi Shunie awasilishe.....bado hawajaamka na wengine ndo tunamalizia maombi ya kuitokomeza corona hapa mjini. karibu kwenye sala, usisahau sadaka
Hahahaha ,safi sana una aunt mjanja mjanja sana ,ndio anafaa huyu....aunt yangu huyu hiyo sadaka ataenda kuitumia kwenye mambo ya kidunia. utasikia kafika Canada anatalii miji ya Quebec
Hahahaha ,safi sana una aunt mjanja mjanja sana ,ndio anafaa huyu
Ebu niambie we mzee nafaajeHahahaha ,safi sana una aunt mjanja mjanja sana ,ndio anafaa huyu