Bhana eh! Ndo nimekuja... lau kama nisingeanzia PM, wala nisingekufahamu! Ila mdogo wangu twende taratibu! Hapa JF ukiona mtu amepata jina la ubatizo basi ujue anakimbia kimeo 😂😅
Vipi tena?! Mi namuita binamu yangu nyama yangu ya hamu, the one and only my Shunie!! We binamu Shunie yaani nimeondoka tumiezi tuwili tu ndo tayari umeshajiweka kwa huyu Lee?!