Hivi shunie unajua nilikukumbuka sana na majukwaa mengine sikuoni kabisa. Sasa leo yale matuthii ya jana utayaleta kweli ?Je wajua inakujia na shunie shunie kibonge cheusi mangala [emoji847] mtoto mlito
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwanza umenipa kazi ya kufukua makaburi yako nijue nani jamani I'd nimeona ngeni ila nimejiuliza mbona mkongweHivi shunie unajua nilikukumbuka sana na majukwaa mengine sikuoni kabisa. Sasa leo yale matuthii ya jana utayaleta kweli ?
Hahahaha, yupo mbona! Siku hizi kawa kijana mzuri kabisa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwanza umenipa kazi ya kufukua makaburi yako nijue nani jamani I'd nimeona ngeni ila nimejiuliza mbona mkongwe
Jamani anko [emoji134][emoji134][emoji134] matusi hakuna leo hivi ndugu yako yuko wapi jamani wick
Sijamuona miezi huyu mnyatuzu jamani anko ujue toka jana unanipa mawazo najiuliza nani huyuu leo nikasema acha niache uvivu nijueHahahaha, yupo mbona! Siku hizi kawa kijana mzuri kabisa.
Hujambo mkuu !
Mimi niko salama kabisa, karibu.
Kibonge mwenzangu mzima
Mimi Pia Shunie,..Hahha sawa anko nimefurahi kukuona jamani
✌️✌️✌️✌️