Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wakuu habari za Sunday..

Leo baada ya kunywa juice yangu ya ukwaju nikipoza hang over ya jana. Ghafla inaingia text ya rafik angu, Mkuu unamkojoza joza nani weekend hii...
Nimeangua kicheko mpaka msupa pembeni angu ambaye muda wote hakuwa na time na mimi akatabasam. Kichwani nikawaza na kutoa tabasamu kwa mbali, nikaanza changanua huu msamiati KOJOZA.

KOJOZA, KOJOZWA, KOJOZANA, KOJOZEA, KOJOZEANA ......
Bado napambanua hili neno adimu lenye ladha ya pwani ya Tanga. Tisa kumi usiombe mpenzi wako akojozwe na mwingine.

NB. Ukuje pole pole.

Team gadner
 
352835cc7df4ca6c65bf75a5b10e7134.jpg


.............
Ungabu haoni.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom